Samahani Chief300K unapata second hand s5,
kuhusu storage simu zote za 16gb free space inarange 8gb hadi 12gb
kuhusu camera si kweli kwamba zinapoteza quality unatakiwa uangalie na series ya hio simu. mfano j series ya 2016 camera yake haiwezi shinda Note au S series ya 2014 japo ni ya 2016
mara nyingi ya 4gb inarange 1.5 mpaka 2gb free na ya 8gb ni 4 hadi 5gbSamahani Chief
Na simu ya 4GB ,8GB zinarange kiasi gani free space?
Chief-Mkwawa Nawezaje kujua tofauti ya Mwaka. Mf: Series ya s5??S na Note zikiwa mpya(za mwaka huu) bei zake huzidi milioni 1,
J series ndio unapata kwa bei hio na budget yako ni vyema ukomae upate J5 kama alivyosema mdau hapo juu. na bei elekezi ni hio 350,000
nenda maeneo ya aggrey zipo nyingi sana, na hakikisha ukitaka kununua unatuma imei yake kwenda 15685 ili kuhakiki kama ina warranty ya Tanzania
ila j5 ina 8gb tu
Sawa Chiefmara nyingi ya 4gb inarange 1.5 mpaka 2gb free na ya 8gb ni 4 hadi 5gb
s ni 2010Chief-Mkwawa Nawezaje kujua tofauti ya Mwaka. Mf: Series ya s5??
Izo infinix note 3 zinapatikana wapi mkuu na bei yake inakwendajeNi nzuri eeh??? Ngoja niigoogle
Aisee we nenda kanunue Tecno
Coz carcare zao zinapatakina kwa wingi
Mi sina hofu na simu yangu coz ikitokea Emergency labda ikapasuka kioo
Basi naenda kwao wanaweka kioo kipya bureeeee kabisa
Lakini under dat condition isiwe imefungulia na mafundi wengine
Nahitaji simu yenye kuanzia 16 gb na yenye camera nzuri yani high quality ya ukweli. Iwe laini mbili lakini sio tecno.
Naombeni mnishauri aina gani ndo itanifaa kutokana na specs zangu hapo. Pia budget yangu iko kawaida(i cant afford iphone wala samsung s5 kuendelea)
Nilitaka kuchukua huaweii y6 pro ila kuna mtu akanambia eti 16gb unaeza ona ni nyingi lakini kati ya hizo either 4gb au 8gb inakua occupied na system ya simu halafu wanakuachia hizo gb chache zilizobaki for your own use.
Samsung nao naona kila wakitoa simu mpya basi camera ya simu za nyuma inapoteza ubora.
jina jengine j2 prime, soc mediatek, hii ni dhaifu kwa j5 na hata kioo chake sio HDKwa hela uliyonayo kanunue mpya kbs dukani tigo wanazo samsungu galaxy grand prime plus latest na itakusaidia!inasifa zote ambazo am sure zitakufaaa
Asante chief kwa mara nyingine,nitajitahidi nipate j5.S na Note zikiwa mpya(za mwaka huu) bei zake huzidi milioni 1,
J series ndio unapata kwa bei hio na budget yako ni vyema ukomae upate J5 kama alivyosema mdau hapo juu. na bei elekezi ni hio 350,000
nenda maeneo ya aggrey zipo nyingi sana, na hakikisha ukitaka kununua unatuma imei yake kwenda 15685 ili kuhakiki kama ina warranty ya Tanzania
ila j5 ina 8gb tu
300k J5?Chukua Samsung j5. Mpya dukani
Yaan simu ya 300k camera izidi ya S na noteBei gani? ,camera yake ni nzuri kuliko note series na s series?
Wewe hapo kwa max bajet yako ya 300k unapata Jseries ambayoChief am sorry nakuuliza tena,kwa hiyo budget yangu ni samsung series ipi ambayo itanifaa kwa camera ikiwa mpya.
I mean kati ya j series,note series,s series etc ni series ipi ambayo camera ni best.
Njoo uchukue J5 kwetu mpyaa kabisa na warrant ya hapa hapa tanzania 2yearsAsante chief kwa mara nyingine,nitajitahidi nipate j5.
Hivi s4 na note 4 ni bei gani?
s4 na note 4 ni used utapata, s4 ni around 200,000 na note 4 ni around 400,000Asante chief kwa mara nyingine,nitajitahidi nipate j5.
Hivi s4 na note 4 ni bei gani?
Samahani boss mimi nimetokea kuzipenda Simu aina ya LG haswa LG G2 samahani unaweza nielezea kidogo kuhusu mapungufu yake Chief..???S na Note zikiwa mpya(za mwaka huu) bei zake huzidi milioni 1,
J series ndio unapata kwa bei hio na budget yako ni vyema ukomae upate J5 kama alivyosema mdau hapo juu. na bei elekezi ni hio 350,000
nenda maeneo ya aggrey zipo nyingi sana, na hakikisha ukitaka kununua unatuma imei yake kwenda 15685 ili kuhakiki kama ina warranty ya Tanzania
ila j5 ina 8gb tu