Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,620
- 5,250
Hizi simu zinauzwa wapi ? Naomba malelekzo huwa naona zisifia humu lakini sijui maduka yake
OnlineHizi simu zinauzwa wapi ? Naomba malelekzo huwa naona zisifia humu lakini sijui maduka yake
Unaharibu ladha ya uzi!Nunua Techno
A imekuja kuwa mbadala wa J katika ubora wa juu na price friendlySamsung A series naona zimetapakaa sikuhizi kuliko ata J.
Nazan ban imeisha wanaendelea kutumia androidHizi si ndo zimefungiwa kutumia Google?
Ladha yenyewe ya shubiri tuuUnaharibu ladha ya uzi!
Huu uongo wa mchanaNunua Techno W4 hutajutia kabsaa
Ram 8gb
Storage 64gb
Nzr sanaaa
Tekno? Ni bora usimiliki simu kabsa!Ladha yenyewe ya shubiri tuu
Bora nimeweka angalau sukar
Ongeza kidogo uchukue Mi Play mpyaaaMi naomba Msaada wa A30, xiaom au oppo yenye gb64 kwa 250k njoo pm niko dar.
Samsung A series naona zimetapakaa sikuhizi kuliko ata J.
Bei gan?Nunua Techno W4 hutajutia kabsaa
Ram 8gb
Storage 64gb
Nzr sanaaa
Kuna uwanja sehemu na kwenye hiyo hela uliyoandika hapo natakiwa niongeze 300000 ili iwe 2,500,000 nipate huo uwanja na ni mzur kwa malengo .Ongeza 2,200,000 uchukue iPhone XS Max
haya matango pori tena yameoza kabisaNunua Techno W4 hutajutia kabsaa
Ram 8gb
Storage 64gb
Nzr sanaaa
Nmechek specifs zake ni chipest ni media tech mkuu stumii tena cm za mediateck mkuu nmezichoka hizo zinaganda ganda sana harafu camera yake ni ndog sana