Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,897
- 3,705
Hizi akili ni zangu kabisa...sijui kwani nazielewa sana Rav 4 generation 3 hizi gari zimekaa vizuri sana.very comfortable.Nje ya mada chukua 2006,2007 Toyota Rav 4, vanguard ni rav4 mayai
Nunua Vanguard for luxury and stability na pia ina nafasi kubwa, ila Suzuki nayo sio mbayaHabari wakuu
Kati ya vanguard na suzuki escude 2008 ipi ni gari nzuri nataka kuvuta moja wakuu