Nyamwage JF-Expert Member Oct 16, 2020 634 1,535 Oct 17, 2020 #1 Wataalamu wa haya mambo wanishauri ni ipi nikiiconnect na tv nita enjoy kati ya CPU ili nitumie Tv kama computer au tv box ili niitumie kama smart.
Wataalamu wa haya mambo wanishauri ni ipi nikiiconnect na tv nita enjoy kati ya CPU ili nitumie Tv kama computer au tv box ili niitumie kama smart.
Shambaboy jogoli JF-Expert Member Apr 7, 2020 1,223 1,624 Oct 18, 2020 #2 Nyamwage said: Wataalamu wa haya mambo wanishauri ni ipi nikiiconnect na tv nita enjoy kati ya Cpu ili nitumie tv kama computer au tv box ili niitumie kama smart Click to expand... Weka vyote mkuu, kila kimoja na radha yake!
Nyamwage said: Wataalamu wa haya mambo wanishauri ni ipi nikiiconnect na tv nita enjoy kati ya Cpu ili nitumie tv kama computer au tv box ili niitumie kama smart Click to expand... Weka vyote mkuu, kila kimoja na radha yake!
Nyamwage JF-Expert Member Oct 16, 2020 634 1,535 Oct 19, 2020 Thread starter #3 Shambaboy jogoli said: Weka vyote mkuu, kila kimoja na radha yake! Click to expand... Mfuko hauruhusu kumiliki vyote viwili mkuu nahitji ambacho ni zaidi ya mwingine mfano kwenye games
Shambaboy jogoli said: Weka vyote mkuu, kila kimoja na radha yake! Click to expand... Mfuko hauruhusu kumiliki vyote viwili mkuu nahitji ambacho ni zaidi ya mwingine mfano kwenye games
P Promenthous JF-Expert Member Apr 2, 2013 316 340 Oct 22, 2020 #4 CPU hautaenjoy apps za android lkn unaweza kuinstall kodi na plex ukainjoy intertiment vizuri,ukiwa na vyote itainjoy zaidi.
CPU hautaenjoy apps za android lkn unaweza kuinstall kodi na plex ukainjoy intertiment vizuri,ukiwa na vyote itainjoy zaidi.