Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,294
- 13,727
Duuh hiyo Singsung uliyeenda nayo Ughaibuni Customs Officers hawakukukamata wakati unatoka nayo Tanzania?Chukua SingSung
Duuh hiyo Singsung uliyeenda nayo Ughaibuni Customs Officers hawakukukamata wakati unatoka nayo Tanzania?Chukua SingSung
We jichanganye tuu na michinaMi nna HITACHI, alinunua Bi Mkubwa tangu mwaka 2000, mpaka leo ndo tunaitumia, itabidi ninunue TCL, Maana nmeona mdau anaisifia kwa uBORA ni kama HITACHI
Duuh hiyo Singsung uliyeenda nayo Ughaibuni Customs Officers hawakukukamata wakati unatoka nayo Tanzania?
mkuu mi nnayo aina ya Sony,nahitaji 140,000 fixed.NIPO DARKwenye chogo iliyo katika hali nzuri nahitaji haraka
so baso unakaa home tu?unakula umeme wa bi mkubwa tuMi nna HITACHI, alinunua Bi Mkubwa tangu mwaka 2000, mpaka leo ndo tunaitumia, itabidi ninunue TCL, Maana nmeona mdau anaisifia kwa uBORA ni kama HITACHI
Kwani we humpendi kaka yako?Dadako!
Unapendaje nduguyo
Nimepanga, ila TV nnayo mimi baada ya Sister kuikataaso baso unakaa home tu?unakula umeme wa bi mkubwa tu
poa mkuuDah huko mbali mkuu
Nina LG mwaka wa 8 huu haijawahi sumbuaIla LG baada ya miaka 5 zinaanza kuzingua...Samsung zipo fresh..