mbona hitachi bado zipo. wanawadanganyaTCL ndio hitachi za kisasa kiongozi, so kama unaujua ubora wa hitachi ujue utaupata kwa TCL. Wengi hawazijui vizuri zile tv ziko bomba sana halafu ni brand ya kuaminika zaidi.
mbona hitachi bado zipo. wanawadanganyaTCL ndio hitachi za kisasa kiongozi, so kama unaujua ubora wa hitachi ujue utaupata kwa TCL. Wengi hawazijui vizuri zile tv ziko bomba sana halafu ni brand ya kuaminika zaidi.
Sio lazma tubishane kiongozi.mbona hitachi bado zipo. wanawadanganya
Chukua Star x hutojutaHbr wana jamvi, nina bajeti ya Tsh 350,000/= Je ni Tv gani nzur ya kununua. ?
Mawazo nilionayo ninunue LG inch 24 au Star X inch 32.
Ushaur wa brand nyingne unaruhusiwa pia?
Asante.
hadi leo

Mi nna HITACHI, alinunua Bi Mkubwa tangu mwaka 2000, mpaka leo ndo tunaitumia, itabidi ninunue TCL, Maana nmeona mdau anaisifia kwa uBORA ni kama HITACHIHuna TVhadi leo
![]()
NunuA motorolaHbr wana jamvi, nina bajeti ya Tsh 350,000/= Je ni Tv gani nzur ya kununua. ?
Mawazo nilionayo ninunue LG inch 24 au Star X inch 32.
Ushaur wa brand nyingne unaruhusiwa pia?
Asante.
Kweli kaka hizi smart TV za LG zina zingua sana pia spare zake nazo ni shida tuIla LG baada ya miaka 5 zinaanza kuzingua...Samsung zipo fresh..
Una uhakika Ulinunua LG kweli? Maanake kuna watu wanapendaga kununua Ma vitu Used mimi Nilinunua LG UHD 43 kwa I,500,000 haijawahi Kunisumbua pia zina Picha Nzuri sanaKweli kaka hizi smart TV za LG zina zingua sana pia spare zake nazo ni shida tu
Mm nilinunua mwaka 2015 LG 32 ikaunguza taa pia ikavunjika kioo niko Geita mpaka sasa ni miezi minne nahangaika na hizo spare taa na kioo imekua shida mafundi nao ni kupigana tarehe tu mpaka sasa nishapoteza laki mbili na haijapona.Una uhakika Ulinunua LG kweli? Maanake kuna watu wanapendaga kununua Ma vitu Used mimi Nilinunua LG UHD 43 kwa I,500,000 haijawahi Kunisumbua pia zina Picha Nzuri sana
Acha Kunyea Watu TCL haijawahi Kuwa Hitachi Japo Zote ni Kampuni za Serikali ya China.Otherwise uje Na Ushahidi ili Uiaminishe Dunia Kuwa TCL iliyoanzishwa Mwaka 1988 Ndiyo Hitachi Iliyoanzishwa Mwaka 1910.Sio lazma tubishane kiongozi.
Sasa Suala la Wewe Kuvunja Kioo ndiyo Unasema Kwamba ni Mbovu? Suala la Kuvunja Kioo? Suala la Kuvunja Kioo? Suala la Kuvunja Kioo? Suala la Kuvunja Kioo? Suala la Kuvunja Kioo? Kweli?Mm nilinunua mwaka 2015 LG 32 ikaunguza taa pia ikavunjika kioo niko Geita mpaka sasa ni miezi minne nahangaika na hizo spare taa na kioo imekua shida mafundi nao ni kupigana tarehe tu mpaka sasa nishapoteza laki mbili na haijapona.
Hii TLC ndo kampun gan?LG au TLC
Kampuni ya Serikali ya China (kwa mujibu wa Troll JF)Hii TLC ndo kampun gan?