Nenda kule jukwa la biashara na matangazo madogo madogo kuna uzi maalum wa biashara za tv.....utakutana na magwiji wa kuuza tv za kila aina.Hbr wana jamvi, nina bajeti ya Tsh 350,000/= Je ni Tv gani nzur ya kununua. ?
Mawazo nilionayo ninunue LG inch 24 au Star X inch 32.
Ushaur wa brand nyingne unaruhusiwa pia?
Asante.
Du!Zuwenna wewe umetulia kuliko hata LG,i need you girl!![]()
Unafanana na dada yangu ndiyo maana nimekupenda!

Dadako!Unafanana na dada yangu ndiyo maana nimekupenda!![]()