Ninimaana ya salamu Za rambirambi

Ninimaana ya salamu Za rambirambi

Joined
Apr 20, 2013
Posts
21
Reaction score
0
Wana jamvi kuuliza c ujinga nikiu tuu yakutaka kajua katika jamii zetu nimezoea salamu za rambirambi nikutoa kitu kidgo hususani pesa ilimradi kufanikisha shughuli ZA MAZISHI SWALI JE KATIKA LEVO YA KIMATAIFA
RAIS OBAMA KATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA KWA RAIS WA SOUTH JE NI PESA NA POLE AU NI POLE TUU?
 
Salamu za rambirambi ni neno la huzuni kuonyesha ulivyoguswa kwako na kifo cha mtu fulani na uko pamoja nao ktk huzuni hiyo. Sio lazima utoe pesa
 
Back
Top Bottom