Mosahe Member Feb 22, 2017 67 33 Mar 20, 2017 #1 Sielewi nini maana halisi ya ku root simu. Hivi ukiroot ni kama ku flash au ku restore
jimmymziray JF-Expert Member Aug 20, 2013 816 515 Mar 24, 2017 #2 Kuroot simu ni rahisi sana, sana yani Zima simu Toa betry Toa line Toa memory Rudisha betri Washa simu Hapo utakuwa umeroot successfully
Kuroot simu ni rahisi sana, sana yani Zima simu Toa betry Toa line Toa memory Rudisha betri Washa simu Hapo utakuwa umeroot successfully
cyrustheruler JF-Expert Member Jul 20, 2015 2,044 1,869 Mar 29, 2017 #4 jimmymziray said: Kuroot simu ni rahisi sana, sana yani Zima simu Toa betry Toa line Toa memory Rudisha betri Washa simu Hapo utakuwa umeroot successfully Click to expand... Kirahisi hivyo?
jimmymziray said: Kuroot simu ni rahisi sana, sana yani Zima simu Toa betry Toa line Toa memory Rudisha betri Washa simu Hapo utakuwa umeroot successfully Click to expand... Kirahisi hivyo?
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Mar 29, 2017 #5 hayo yote yamejadiliwa humu jukwaani pitia baadhi ya hizi threads Android Phone without ROOT ACESS is like an African woman not bearing children . Jinsi ya ku root simu yako ya Android
hayo yote yamejadiliwa humu jukwaani pitia baadhi ya hizi threads Android Phone without ROOT ACESS is like an African woman not bearing children . Jinsi ya ku root simu yako ya Android