Nini wanawake wanataka

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Wanataka kupedwa, kusikilizwa, kubembelezwa, kuheshimiwa, kuaminiwa. Hey, nimesahau kitu fulani, wanapenda to be treated like Queens.

Hivi nyinyi wadada, huwa mnafikiria nini wanaume wanataka kutoka kwenu?
Wanawake wengi inaonekana wamesahau kuwa kupendwa ni kupenda na ndipo dhana ya kupendana inakuepo.

Hii dhana ya wadada kupenda kitu kuliko mtu siyo nzuri.
 
sijaelewa swali lako na majibu uliyojibu
 
...oa ndio utajua mwanamke anataka nini!!!
 
Wanaume waseme wenyewe wanachokitaka; kwani sie tutajuaje mnachokitaka.
........... mie nataka love and care only.......... mengine ni mbwembwe tu.
 
mimi nilishashtuka mapema....... kama mapenzi ni pande mbili ama 50-50,ukiona limeegemea upande mmoja ujue kuna tatizo hapo,na hivi ndivyo nimpendavyo mpendwa wangu Heaven on earth,mwanamke bana watu wa ajabu sana akiona tu unamzidishia mapenzi basi ujue maumivu
 
sasa umetuuliza waanawake tunataka nini au?

Sorry! Mada yangu nimeandika kwa msamiati mkubwa sana. Kama utakuwa ujauelewa samahani sana. Kufafanua inaniwia vigumu.
 
Mapenzi ni two way traffic,nipe nikupe!!Jambo la kuliweka akilini ni kwamba mwanamke ana hisia zaidi kuliko mwanaume kwahio ni vyema akihakikishiwa hilo!!!
 
Hawajui wanachotaka. Ni kama kila siku priority list inabadilika. Ukiondoa usual "suspects" i.e. kupendwa,kuthaminiwa, kujaliwa,kuaminiwa etc - ambazo nazo ni very vague and can vary greatly from chick to chick. To sum it up naona wanapenda wanaume wasioeleweka - yaani bandidu au kwa ki-magharibi mnaita bad boyz. They get a kick from the challenge these dudes give them. Wewe jifanye unampenda sana mwanamke uone atakavokushika mapembe na kukufanya zoba. Halafu mwishowe utasikia "he is ok but he is very boring"!! dog-gone it!!.
 
Nyie mnataka mpendwe na tuwatii ikifika kwetu mnasema wazi kuwa kutonyesha mnatupenda inakuwa shida. Love and care hutaki sepa.
 
Nyie mnataka mpendwe na tuwatii ikifika kwetu mnasema wazi kuwa kutonyesha mnatupenda inakuwa shida. Love and care hutaki sepa.

Love & CARE hapo chacha
 
Mungu amekwisha weka sheria katika ndoa na inapaswa kuheshimiwa, nayo ni:

1. Enyi wanaume wapendeni wake zenu kama kristo alivyolipenda kanisa hata akafa kwa ajili yake.
2. Enyi wanawake watiini waume zenu kama ilivyo kumtii Mungu.

Mambo mengine yote yanayofanywa ni mbwembwe tu ila ukweli halisi wa kuifanya ndoa inawili ni kuzingatia mambo hayo makuu mawili, ukishayajua hayo hutojiuliza wanawake wanataka nini na wanaume wanataka nini.
 
kuhakikishiwa tu kua yupo kwa aliyempenda inatosha, haina haja ya anataka nini, we mwenyewe utaona atakayorelax
 
Mwanamke haitaji kitu chochote zaidi ya kuhakikishiwa kupendwa...kama mwanume ukijua hivyo, basi kuuteka moyo wa mwanamke si jambo gumu.

hili ni la ukweli,mwanamke ukimhakikishia haya,au ukimfanyia haya,she'll neva foget u bhana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…