Nini utofauti kati ya Landcruiser VX na Landcruiser

Kama kichwa cha thread kinavyojieleza swali langu ni hasa ni nini tofauti ya Landcruiser vx na Landcruiser GX magari haya hujulikana kwa jina la shangingi.

Na je, huwa yana utofauti wowote wa kiumbo unaoweza kutofautisha hili ni VX na lile ni GX?

Pia inaonekana kama VX linatamba zaidi ya GX, je ni kwa nini?
Tuwekee picha zao tutofautishe.
 
LC200 imeharibu ugali wa Mtu huko

1607512900701.png
 
Back
Top Bottom