Mwananchi toam mchango wako hapa kuipa ushauri CHADEMA kwani hiki chama kimeonekana nicha kikuu cha upinzani nchini na kimeikabili vilivyo CCM mpaka wanaanzakutumia njia zisizo kuwa na ustaraabu.
Ili kiweze kuvuka hapo kilipo yakupasa kukipa mawazo yako ili tuone niwapi kiimalishwe ili tuweze kuwa na mshikamano,Umoja,Chama imara,ili huko tuendako tuweze kuwa na viti vingi bungeni zaidi ya hivi tulivyo navyo!
Toa Maoni yako mchango wako ni thamani kubwa.
Asante na Karibu.
Kwanini umesema hawawezi kuongoza nchi wakati wanaongoza kambi ya upinzani na michango yao tumeiona kwa mawaziri vivuli mpa baadhi ya viongozi wa chama tawala wamechukua mawaz yao na kuyafanyia kazi wewe kwanini umeona CHAADEMA hawawezi kutawala wala kuongoza nchi kwa kigezo kipi ulicho kitumia tufafanulie hapa lakini nacho jivunia ni uhuru wako wa mawazo.Hawana uwezo wa kuongoza nchi hii,Chadema bado wanafikra za kumwaga damu hawatufai.watulieili watanzania waone kuwa nia yao siyo madaraka kwa mbinu zozote vinginevyo upepo utawageuka.
Hawana uwezo wa kuongoza nchi hii,Chadema bado wanafikra za kumwaga damu hawatufai.watulieili watanzania waone kuwa nia yao siyo madaraka kwa mbinu zozote vinginevyo upepo utawageuka.
Mwananchi toa mchango wako hapa kuipa ushauri Chama cha CHADEMA kwani hiki chama kimeonekana nichama kikuu cha upinzani nchini na kimeikabili vilivyo CCM mpaka wanaanza kutumia njia zisizo kuwa na kistaraabu.
Ili kiweze kuvuka hapa kilipo yakupasa kukipa mawazo yako ili tuone niwapi kiimalishwe ili tuweze kuwa na mshikamano,Umoja,Chama imara,ili huko tuendako tuweze kuwa na viti vingi bungeni,na madiwani zaidi ya hivi tulivyo navyo!
Toa Maoni yako mchango wako ni wa thamani kubwa.
Asante na Karibu.
Yani kama watu wamesoma wasipate nafasi hizo ndo unamaanisha??wao wanafanya mkoa wao uwena maendeleo lakini hakuna mawazo unayoyafikiria umeonyesha udhaifu!!katika thread ndefu kama hii lakini umeelezea wivu??Kweli bado tuna safari ndefu watanzania zaidi soma Signature yangu chini!!!Chagga Development Manifesto (CHADEMA) bado hakina uhalali wa mpaka sasa. Ni kikundi tu cha wapinga maendeleo kilichokuwepo hata kabla ya vyama vingi. Ni kikundi cha wasomi wa kabila moja ambacho kimo ndani vyombo vya serikali ambacho kimeweza kuteka akili ya watanzania ili kutekeleza lengo la waasisi wake. Maajenti wake wamejaa TRA, BANDARI, na sehemu nyeti za taifa hili ili kuyumbisha uchumi wa taifa na kuimarisha mitaji yao. Ni kundi hatari linaloifanya serikali ishindwe kutekeleza majukumu yake, kwa kuwa wao ndio wasimamiaji wa ukusanyaji wa kodi, uingizaji wa bidhaa, na utoaji wa elimu. Kwa hiyo "It is a dominance class" in this country because it was favoured during colonial period and succeeded to escape Mwl. Nyerere attempt to eradicate tribalism. Ukisikia elimu yetu ni mbovu ujue chanzo chake ni wao, ukisikia serikali inapambana na ujambazi ujue chanzo chake ni wao, ukisikia serikali inapambana na mafisadi ujue chanzo chake ni wao. Ni bahati mbaya kwamba jamii zingine hazijapata elimu ya kuweza kujuwa wanavyo-operate, na kibaya kabisa ni pale unapokuta hata wasomi ambao hawajaelimika wamesombwa na tufani upepo wao. Naomba Mungu awasaidie watanzania wapate elimu yenye kuelimisha ili waweza kujinasua kwenye mtego utakao gharimu hatima ya uwepo wa jamii zao katika taifa la watu mchanganyiko na wapenda amani kama Tanzania. Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania!
Hawana uwezo wa kuongoza nchi hii,Chadema bado wanafikra za kumwaga damu hawatufai.watulieili watanzania waone kuwa nia yao siyo madaraka kwa mbinu zozote vinginevyo upepo utawageuka.
Chagga Development Manifesto (CHADEMA) bado hakina uhalali wa mpaka sasa. Ni kikundi tu cha wapinga maendeleo kilichokuwepo hata kabla ya vyama vingi. Ni kikundi cha wasomi wa kabila moja ambacho kimo ndani vyombo vya serikali ambacho kimeweza kuteka akili ya watanzania ili kutekeleza lengo la waasisi wake. Maajenti wake wamejaa TRA, BANDARI, na sehemu nyeti za taifa hili ili kuyumbisha uchumi wa taifa na kuimarisha mitaji yao. Ni kundi hatari linaloifanya serikali ishindwe kutekeleza majukumu yake, kwa kuwa wao ndio wasimamiaji wa ukusanyaji wa kodi, uingizaji wa bidhaa, na utoaji wa elimu. Kwa hiyo "It is a dominance class" in this country because it was favoured during colonial period and succeeded to escape Mwl. Nyerere attempt to eradicate tribalism. Ukisikia elimu yetu ni mbovu ujue chanzo chake ni wao, ukisikia serikali inapambana na ujambazi ujue chanzo chake ni wao, ukisikia serikali inapambana na mafisadi ujue chanzo chake ni wao. Ni bahati mbaya kwamba jamii zingine hazijapata elimu ya kuweza kujuwa wanavyo-operate, na kibaya kabisa ni pale unapokuta hata wasomi ambao hawajaelimika wamesombwa na tufani upepo wao. Naomba Mungu awasaidie watanzania wapate elimu yenye kuelimisha ili waweza kujinasua kwenye mtego utakao gharimu hatima ya uwepo wa jamii zao katika taifa la watu mchanganyiko na wapenda amani kama Tanzania. Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania!
Mwananchi toa mchango wako hapa kuipa ushauri Chama cha CHADEMA kwani hiki chama kimeonekana nichama kikuu cha upinzani nchini na kimeikabili vilivyo CCM mpaka wanaanza kutumia njia zisizo kuwa na kistaraabu.
Ili kiweze kuvuka hapa kilipo yakupasa kukipa mawazo yako ili tuone niwapi kiimalishwe ili tuweze kuwa na mshikamano,Umoja,Chama imara,ili huko tuendako tuweze kuwa na viti vingi bungeni,na madiwani zaidi ya hivi tulivyo navyo!
Toa Maoni yako mchango wako ni wa thamani kubwa.
Asante na Karibu.
Nakuhakikisha wanaweka viongozi wanaokubalika makimboni nakuhakikisha wanawapa posho ili waweze kujitolea kwa moyo nakuweka ofisi mimi sidhani ofisi unaweza kugalimu 5ml kijijini kwakujenga wanajenga wanajizatiti kuweka ofisi zinazotambulika!Nafikiri ni Muhimu sana kwa Viongozi wa Chadema kuwasisitizia Mawakala kuhakikisha wanapata nakala za Matokeo ya Uhesabuji kura ya kituo chake na Iwe imegongwa Muhuri wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Iwe imesainiwa na yeye mwenyewe na Msimamizi!! Ni muhimu pia kuzingatia kwamba fomu isiwe imekosewakosewa kwenye kuandika maandishi au namba!
Wahakikishe pia wanakuwa MAKINI wakati wa Kuhesabu kura zenyewe!!
TUTASHINDA!!