KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Mwananchi toa mchango wako hapa kuipa ushauri Chama cha CHADEMA kwani hiki chama kimeonekana nichama kikuu cha upinzani nchini na kimeikabili vilivyo CCM mpaka wanaanza kutumia njia zisizo kuwa na kistaraabu.
Ili kiweze kuvuka hapa kilipo yakupasa kukipa mawazo yako ili tuone niwapi kiimalishwe ili tuweze kuwa na mshikamano,Umoja,Chama imara,ili huko tuendako tuweze kuwa na viti vingi bungeni,na madiwani zaidi ya hivi tulivyo navyo!
Toa Maoni yako mchango wako ni wa thamani kubwa.
Asante na Karibu.