Nini uhusiano wa chama cha Conservative cha Uingereza na Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini uhusiano wa chama cha Conservative cha Uingereza na Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Luteni, May 5, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kesho waingereza wanapiga kura kuchagua chama na Waziri wao Mkuu atakayewaongoza kwa miaka mitano ijayo, inavyoonekana chama cha Conservative kiko mbele ya chama tawala cha Labour kinachoongozwa na Gordon Brown. Niliwahi kuzisikia tetesi kuwa chama cha Conservative kinachoongozwa na David Cameron kina uhusiano wa karibu na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema je tetesi hizi ni za kweli?
   
Loading...