NINI TUNAJIFUNZA MAISHA YA HAPA DUNIANI YA DR.MENGI?

BAF

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
422
Reaction score
511
Mimi nimetafakali Vitu vingi wakati Jana mwili wa marehemu Mzee, Lovely dady, Trillion, role model wetu ulipokuwa unapitishwa mitaani.
Yale machozi na huzuni ndio nimeamua kuleta hii tread hapa jukwaani,naomba na wewe uandike ulichojifunza kutoka kwa Mzee huyu.
1.Alikuwa anamengi na Kama jina lake Mengi,utajili aliompa Mungu hakubaki nao na aliamua kuugawa kwa watu wengi.
2.Mtu wa watu,hakuona Yeye si kitu mbele za millions people Tanzania,aliamua kujishusha ktk maeneo yote.
3.Kuwekeza Fedha zake zote Tanzania,na sio ujanja ujanja.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
............

RIP.Dr.Mengi
 
The power of media branding.

Subiri na Jiwe siku akifa ulete story zake za mtu wa watu, mtetezi wa wanyonge, mcha Mungu, mwenye huruma na mzalendo
 
Mengi ametusaidia Watanzania wengi hawajui mwaka 1993 aliingia kwenye matatizo na Serikali pale aliweka mitambo mikubwa ya ITV yenye uwezo wa frequency zake kufika mbali zaidi wakati kipindi hicho sheria za Nchi ilikua kurusha mwisho Pwani ikabidi anunue TV kubwa aziweke katikati ya mji kwa kila mkoa TV ilikua inawashwa asubuhi mpaka saa sita usiku mimi nilikua Mbeya hapo tukiangalia kombe la mataifa huru ya Afrika na fainali watu wengi wanajazana pale ulipo ukumbi wa Mkapa kwa sasa Dar ilikua mnazi mmoja..alipigana sana kutuondoa matongotongo toka hapo nikaanza kumfatilia Mzee Mengi na kujua ni mtu wa watu...
 
Mzee Mengi alikuwa tajiri wa Mali lakini tajiri mkubwa wa roho. mazungumzo yake ya nyuma alisisitiza kuwa mali si chochote binadamu ataacha duniani.
Tunajifunza nini tunajifunza tumfurahishe kwanza Mungu wetu wa mbinguni Mali iwe ziada ya kusaidia wengine wasio nayo.
 
Kwa yanayoendekea Msiba wa Mengi,naona mambo ni Moto.
Paying back inalipa aise maana sio kwa uzuri huo.
 
ukijaliwa vijipesa bas wakumbuke na wale ambao hawajui hata watakula nini
 
Bab mwenyewe niliangalia pambano la tyson pale committee center soko matola alfajir
Mengi ametusaidia Watanzania wengi hawajui mwaka 1993 aliingia kwenye matatizo na Serikali pale aliweka mitambo mikubwa ya ITV yenye uwezo wa frequency zake kufika mbali zaidi wakati kipindi hicho sheria za Nchi ilikua kurusha mwisho Pwani ikabidi anunue TV kubwa aziweke katikati ya mji kwa kila mkoa TV ilikua inawashwa asubuhi mpaka saa sita usiku mimi nilikua Mbeya hapo tukiangalia kombe la mataifa huru ya Afrika na fainali watu wengi wanajazana pale ulipo ukumbi wa Mkapa kwa sasa Dar ilikua mnazi mmoja..alipigana sana kutuondoa matongotongo toka hapo nikaanza kumfatilia Mzee Mengi na kujua ni mtu wa watu...
 
Ametuachia Mengi sana Mzee wetu!Tafuta pesa,toa usibague yeyote yule.Totoz nazo ziwaguse.Usibague kamwe!
 
Bab mwenyewe niliangalia pambano la tyson pale committee center soko matola alfajir
Yap ndio miaka yetu hiyo TV ilikua ya kila mtu wala watu hata wabaya hawafikirii kuiba huyu Mzee nikimfikiria aliangalia mbali sana..Mimi mechi za Afcon niliangalizia pale zote nakumbuka enzi hizo unakuta watu wazima ili mradi waangalie TV wapo na kipindi cha watoto...
 
Kwao pia amepajenga ndugu,TUNAJIFUNZA hela huwa inaishia mjini(Dar) kumbe hata kijijini zinaenda aise.
Mjengo mjengo Mjengo.

RIP,Dr.Mengi
 
hata ukiwa na hela nyingi utakufa tu
 
  • Thanks
Reactions: BAF
Tijifunze kurithisha vizuri mali zetu tukiwa hai kama alivyofanya dingii maana waTz kwa kujadili mali zisizokuwa zao wamezidi.
 
  • Thanks
Reactions: BAF
Upendo siku zote unalipa kwenye Jamiii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom