Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Uzuri its Natural
Urembo you can buy from the Shop.
Happy Valentine Mkuu
Duh!Atakumaind!Thanks Mkuu same 2 u!!
Nilikuwa sijui ndo maana kuna Binti 1 aliniuliza kama yeye ni MZURI nikamjibu yeye ni MREMBO akanuna!!!
Uzuri haununuliwi..Urembo pesa yako tu!
Duh!Atakumaind!
Kila kitu ni perception!Ila uzuri ni ule unaouona akiamka tu kabla hata hajanawa uso...akitoka kuoga kabla hajajiREMBA!Ndo maana kupaka make up na vikorokoro vingine kunaitwa kujiremba na wanaume hawaitwi warembo kwasababu hawajirembi!Kuna factor zozote zinazomfanya mtu aitwe MZURI au ni perception ya mtu???
Uzuri its Natural
Urembo you can buy from the Shop.
Happy Valentine Mkuu
Thanks Mkuu same 2 u!!
Nilikuwa sijui ndo maana kuna Binti 1 aliniuliza kama yeye ni MZURI nikamjibu yeye ni MREMBO akanuna!!!
Kuna factor zozote zinazomfanya mtu aitwe MZURI au ni perception ya mtu???
Kila kitu ni perception!Ila uzuri ni ule unaouona akiamka tu kabla hata hajanawa uso...akitoka kuoga kabla hajajiREMBA!Ndo maana kupaka make up na vikorokoro vingine kunaitwa kujiremba na wanaume hawaitwi warembo kwasababu hawajirembi!

Hao waitwe tu warembo kwasababu wanautaka urembo!!Mwanaume wa ukweli hajirembi!Mhh! Siku Midume inajiremba haswa sijui nao 2waite WAREMBO au ndo siku hizi wanajiita MASHAROBARO??!!
Hivi uzuri unakaa wapi usoni au wapi?
Wanasema
"The Beauty is in the Eyes of a Beer Holder" :lying:
Kaka nimeupenda huu mchakachuo kutoka " the beauty is in the Eyes of the beholder" hadi in the Eyes of the beer holder! hahahaha! poa sana hick! we binti ni mzuri sana hick! njoo hapa we hick!
:clap2:Wanasema
"The Beauty is in the Eyes of a Beer Holder" :lying:
Uzuri haununuliwi..Urembo pesa yako tu!