Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

mkuu hutaua watu na presha mkuu! Watu tuna stress na magamba.....
 
<br />
<br />
Ahaaa...!!
 
Mbona haitishi, cha mtoto hicho .Wengine tumepambana na misukule itakuwa hii
 
Shenzi kabisa! usirudie tena kuweka midude kama hii.inawezekana unafuga misukule nyumbani kwako.pumbaaafffffffffffffffffffffffffffffffffffu!!!!!!!!
 
daaaah ujasiri wangu wote kwishney maana nili concetrate ili nizione tofaut mara !@#$%^&^T%$#,,,,,, balaa hilo msifungue hasa hasa kama sauti ya lap top ipo juu
 
Click link hii hapa chini, na uangalie tofauti ya hizo picha mbili utakazoziona..

Note: Usifungue kama una-hisi una pressure


http://www.susya.ru/flash/fvp.swf


Kwa wale waliodai kuwa Moseley angeweka tahadhari, mbona tahadhari ipo!
Tatizo itakuwa kwa Mswahili "ama lazima mpaka yamkute (anasubiri ushahidi kamili), au mtu hakusoma tahadhari hiyo.
 
imegoma kufunguka lakini imenitisha sana.ntajitahidi kuifungua kesho hadi ifunguke.mia
 
Mbona haitishi, cha mtoto hicho .Wengine tumepambana na misukule itakuwa hii

hata mie nashangaa wanalalamika hata wanaume. hii ndo dalili vijana wa siku hizi hamna ujasiri kabisa. hivi ushaona wapi hatari inakuja kwa kuambiwa/kutaarifiwa? sisi wa mara hata sijashangaa ila nimeishia kucheka tu hahahaaaaaaaaa...........
 
aaah, mambo gani haya tena!?? yaani umenipandisha pressure na kuniharibia kazi zangu. Ingekuwa ulaya wewe ungelipa fidia. Mod iondoeni hii isije ikaua watu bure.
Mbona mkuu hukuchukua tahadhali,
 
<br />
<br />
hapa cm yangu haifungui ila kwa haya matusi i can imagne inavotisha!
Ukianza kuiona utasema huyu jamaa amasema nitoe tofauti kati ya picha hizo huku ukiwa unatafakali linkauja lidude fulani la kutisha ubaya ni kuwa ni lazima utakuwa hujjaiandaa hivyo kukushitua na kama una pressure ndiyo balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…