Nini tofauti ya Hip hop na Rap

Hip hop ni aina ya mziki kama ilivyo reggae, bolingo, mduara, singeli, kwaito, taarabu, dance n.k.
Na rap ni namna ya kuimba huo mziki husika na ndio mana kuna marapper wa dance, bolingo, dancehall, hip hop, reggae n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom