Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,422 Reaction score 17,886 Oct 24, 2016 #1 Naomba ufafanuzi tafadhali. Mtu mwenye kisirani anakuwa katika hali gani? Kisirani ni hasira.? Nini tofauti ya hizi hali. Naomba na mifano kamaitawezekana. Nawakilisha
Naomba ufafanuzi tafadhali. Mtu mwenye kisirani anakuwa katika hali gani? Kisirani ni hasira.? Nini tofauti ya hizi hali. Naomba na mifano kamaitawezekana. Nawakilisha