deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari waheshimiwa,
Nina mpango wa kutengeneza website na mobile applications ambayo inahusika Alumni registration (yaani inakuwa na form ambayo wanafunzi waliomaliza wanajaza au ku edit)
i.e name, contact details, .....
This can be achieved through a website and I can make it responsive and look like a mobile app.
Lakini nataka ushauri kwa wataalam tofauti kati ya responsive website na mobile app ili nijue kama kuna umuhimu wa kuwa na mobile app.
Asanteni