Habari wandugu ninatatizo la baridi yabisi ni nini dawa yake maana wamenambia hospitali hamnaga dawa zaidi ya antpain. Najisikia mwili unaungua moto hasa sehemu za baridi, kwenye joint hasa magoti yanauma hatabkutembea kazi nateseka kwa ujumla nisaidie mwenye kujua.