Sehem nyeti zipi zinazotoa harufu na kuota nywele nyeupe kama mvi??Habari wadau.....
Naomba kuuliza nini chanzo cha harufu mbaya na zile nywele nyeupe nyeupe kwenye sehemu nyeti?
Na je nini tiba ya kiondokana na matatizo yote hayo mawili?
Naomna kuwasilisha!
Ushauri muruwa sana huu!! Hapa papuchi ni fulu kunukia kama asumini!!!!..Na kama unazungumzia maumbile ya kike kitu namba 1 na kibaya mnoo kinachoharibu papuchi mpaka ikatoa harufu na hata kulegea ni mbegu za kiume zikiachwa bila kusafishwa vizuri.. mbegu za mwanaume zinapoenda kwa mwanamke zikakaa sehemu husika zinavirutubisho vizuri tu kwa mwanamke ila zikikaa hapa mlangoni ambapo si mahala pake, pale ni njia tu, basi mwanamke akilala nazo bila kujisafisha ndo chanzo cha harufu mbaya, kutokwa na maji kizembe na papuchi haibani kwa hali yake mwazo.
Kingine kwa mwanamke akinuka basi ni fungus za pembeni ya mapaja ambazo sabab ni chupi za mipira joto, kunawa halafu kuacha na maji maji bila kujikausha, na kuacha minywele ndo sabab kubwa ya harufu.
Mwanamke akijisafisha vizuri, akawa anakausha papuchi yake vizuri harufu itakayobaki ni ile yake ya asili na si vinginevyo, papuchi ikikojoa ioshwe kwa maji tissue ni mbwewe tu, kubadili chupi mara kwa mara ni vyema, kulingana na shughuli zako, kama unauza mama ntilie heka heka za joto n.k. badili hata mara 3 ila kwa wadada wa ofisini kwenye viyoyozi si mbaya ukivaa asubuh mpaka jioni ukirudi, muhim ukienda chooni unakukausha vyema. kwa kuongezea yako mafuta ambayo unaweza paka juu sio ndani yani ni mafuta kama uanvyopaka usoni yani iko kama lotion ni makavu hayana joto unaweka katone kadogo mkononi unajipaka kuanzia mapajani mpaka juu ya papuchi SIO NDANI ikiwa ushajizoesha hviyo mara nyingi papuchi itakuwa na harufu nzuri hata siku ukisahau kupaka ni ngumu kunuka uvundo .