Nini? Tafsiri ya kulia(machozi) ya viongozi wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini? Tafsiri ya kulia(machozi) ya viongozi wetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimboka one, Apr 28, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wadau nisaidieni kutafakari vilio vya viongozi wetu,imetokea mara nyingi viongozi wengi kulia adharani,ebu tuwataje na kujiulize kwa nini? Wanalia pengine lipo fumbo katika machozi yao
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Ulichokisema katika ile sred hujaridhika??
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unafiki unawasumbua hawana lolote
   
 4. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  anza kutaja wewe kwanza
   
Loading...