ushuhudaaa
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 132
- 57
Naomba kujua nini asili ya Hii siku ya alhamisi kutumika Kama siku ya kumbukumbu ya mambo yaliyopita hususani kwenye muziki nimeliona hilo.. Kila ifikapo hapo siku ya alhamisi siku Hiyo hupigwa nyimbo za miaka ya Nyuma. ..kuna Siri gani katika siku Hiyo? Kwanini isiwe ijumaa au Jumapili nasikuzingine?