Nini siri ya no 3...!!?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Namba tatu ina siri kubwa hebu angalia Hapa
Kwenye mashindo mbalimbali kuna tatu bor a
Kwenye kuanza mashindano yoyote huanza moja mbili tatu
Kwenye ukristo kuna utatu mtakatifu baba Mwana na roho mtakatifu
Kwenye buddhism kuna utatu budha, milefo na kuan in pusa
Kwenye kshna hivyo hivyo
Kwenye misiba hivyo hivyo
Kwenye kuzaliwa hivyo hivyo
Sikukuu za mwanadamu hivyohivyo
Na mengine meengi..!nini siri ya namba hii??
Waweza ongezea au kutoa ufafanuzi
 
Ngoja maoni yajae jae nitarudi baadae...
 
Na mimi nimezaliwa tar 3 acha nisubiri majibu
 
Hata Simba alipigwa tatu kabla hajachomoa...
 
Napia huu uzi umeletwa leo jumanne badala ya jana jumatatu
 
Napia huu uzi umeletwa leo badala ya jana jumatatu..
 
Ndomu hupakiwa 3 !
Kwa maana ya vi3 ndiyo ordinary .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…