Nakupa ushauri wa bure mkuu.Mpinga Kristo au Shetani namba yake ni 666.Kwa namba ambazo wewe matukio yako muhimu yanatokea,yaani 9,6 na 3 ipo shida.Kumbuka kwamba in the Satanic world 9 na 6 ni sawa.Kumbuka pia kwamba 6 is a multiple of 3.Furthermore, remember also that satanic world uses numbers as signatures to signify their precence.nimezaliwa trh inaishia 6, nimeitimu msingi mwaka unaishia 9, form four mwaka unaishia 3, form six mwaka unaishia 6, 1st degree mwaka unaishia 9, 2nd degree mwaka unaishia 3, 3rd degree likely mwaka utaishia 9...
kuna siri yoyote juu ya namba fulani fulani na maisha ya mtu?... maana hata ndoa namba inaishia 3....
😡Namba hizo zinaonyesha kuwa ukizeeka utakuwa ''kigagula'' 😀😀😀
😡Namba hizo zinaonyesha kuwa ukizeeka utakuwa ''kigagula'' 😀😀😀
unataka kuniambia kwamba nikifanya jambo lolote ndani siku au tarehe au mwezi ambao unaishia na namba ya yaterehe niliozaliwa, asilimia ya kufanikisha hilo jambo ni kubwa au kufanikiwa katika hilo ni kubwa??369, 3+6+9= 18÷2=9 ÷3 =3 hizo ni namba za ukamilifu wa Kiroho na kidunia
FIKSI.Nakupa ushauri wa bure.Mpinga Kristo au Shetani namba yake ni 666.Kwa namba ambazo wewe matukio yako muhimu yanatokea,yaani 9,6 na 3 ipo shida.Kumbuka kwamba in the Satanic world 9 na 6 ni sawa.Kumbuka pia kwamba 6 is a multiple of 3.
Nini maana ya scenario hii.Inawezekana unatoka kwenye familia ya kishetani au kishirikina sana, kwa hiyo kwa kujua au kutokujua umeingizwa katika ushetani.Sasa kwa wewe matukio yako muhimu kutokea katika tarehe hizo tajwaa inaweza kuwa na maana kwamba wewe ni wa Shetani na yuko kwenye kukuandaa ili umtumikie!God forbid.
Nini ufanye kama hutaki ushirika na Shetani?Muone Mchungaji anayeamini katika wokovu wa kweli akuongoze sala ya toba uokoke.In that situation, Shetani hatakuwa na mamlaka tena kwako.Hali yako inaweza kuwa ngumu,kwa hiyo unaweza ukahitaji "internal healing" na "deliverance".Mchungaji utakayemuona Mungu atamuelekeza la kufanya,kama kweli ni mtumishi wa Mungu.Kila la heri.
Kweli usichokijua ni usiku wa giza.Upumbavu at its highest level.Nimesema upumbavu kwa kuwa unajifanya unajua kumbe hujui,basi baki na upumbavu wako.Ungekiri kwamba hujui "the meaning of numbers" tungekuelimisha.FIKSI.
namba zipo tu na hazina uhusiano na ushetani.
KIBWETELE AT WORK
Mwaka unaokuja unaishia na 9 sio mzuri kwako kuwa makini sana.....la sivyo dah ngoja niachie haponimezaliwa trh inaishia 6, nimeitimu msingi mwaka unaishia 9, form four mwaka unaishia 3, form six mwaka unaishia 6, 1st degree mwaka unaishia 9, 2nd degree mwaka unaishia 3, 3rd degree likely mwaka utaishia 9...
kuna siri yoyote juu ya namba fulani fulani na maisha ya mtu?... maana hata ndoa namba inaishia 3....
just a coincidencenimezaliwa trh inaishia 6, nimeitimu msingi mwaka unaishia 9, form four mwaka unaishia 3, form six mwaka unaishia 6, 1st degree mwaka unaishia 9, 2nd degree mwaka unaishia 3, 3rd degree likely mwaka utaishia 9...
kuna siri yoyote juu ya namba fulani fulani na maisha ya mtu?... maana hata ndoa namba inaishia 3....
always kwa jambo ambalo sina hakika nalo huwa naacha ubongo wangu kuwa huru na kupata ya upande wa pili.. nina amini kuna ulimwengu wa upande wa pili nje ya huu sisi tunauona...unachukua 3rd degree bado unajiuliza maswali ya kitoto hivi namba hizo hazina maana yoyote kwenye maisha vitu vingi ukitaka viko kwenye pattern fulani lakini huo mpangilo haudetermine kitu chochote ni coincidence tu.
nilivyokuwa mdogo hata mimi sikuwa na amini ila katika umri wa miak 15 hivi siku tuliyomkuta mchawi ndani akiwa hawezi kuongea fikra zangu zilibadilika.. milango yote ilikuwa imefungwa tena kwa ndani aliingiaje? kuwa huru kujifunza mengiSina imani na hayo mambo kabsaa,.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] between life and death.... Kufa na kuzaliwa.... Hili halihitaji majibu mepesi nipe mudaMie sio namba. Mwanangu wa kwanza alizaliwa 2003 julay siku anazaliwa nilikuwa makaburini nazika. Alizaliwa mchana wa saa 9.
Mwanangu wa pili alizaliwa April 2007 pia nilikuwa makaburini naziki. Alizaliwa mchana wa saa8.
2015 August mwanangu wa 3 alizaliwa nilikuwa makaburini nazika. Alizaliwa mchana wa saa 9.
Haya matukio ya kuzika na kuzaliwa yana uhusioano wowote?
Cc. Mchana jr
Na mimi naomba ushaur ndugu nahisi kuna maana zaidi ipo nyuma ya tukio langu la kuoa ( harusi).Nakupa ushauri wa bure mkuu.Mpinga Kristo au Shetani namba yake ni 666.Kwa namba ambazo wewe matukio yako muhimu yanatokea,yaani 9,6 na 3 ipo shida.Kumbuka kwamba in the Satanic world 9 na 6 ni sawa.Kumbuka pia kwamba 6 is a multiple of 3.
Nini maana ya scenario hii.Inawezekana unatoka kwenye familia ya kishetani au kishirikina sana, kwa hiyo kwa kujua au kutokujua, umeingizwa katika ushetani.Sasa kwa wewe matukio yako muhimu kutokea katika tarehe hizo tajwaa, inaweza kuwa na maana kwamba wewe ni wa Shetani na yuko kwenye kukuandaa ili umtumikie!God forbid.
Nini ufanye kama hutaki ushirika na Shetani?Muone Mchungaji anayeamini katika wokovu wa kweli, akuongoze sala ya toba uokoke.In that situation, Shetani hatakuwa na mamlaka tena kwako.Hali yako inaweza kuwa ngumu,kwa hiyo unaweza ukahitaji "internal healing" na "deliverance".Mchungaji utakayemuona Mungu atamuelekeza la kufanya,kama kweli ni mtumishi wa Mungu.Kila la heri.
Hukurudi kujibu àu ulihitaji karne nzima[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] between life and death.... Kufa na kuzaliwa.... Hili halihitaji majibu mepesi nipe muda
Trinity Shetani anatumia namba katika kutekeleza mambo yake 100%.Jambo hili ameliiga kutoka kwenye Ufalme wa Mungu.Tofauti ni kwamba Shetani yeye namba zake ni known to be satanic from a biblical point of view.Na mimi naomba ushaur ndugu nahisi kuna maana zaidi ipo nyuma ya tukio langu la kuoa ( harusi).
Ipo hivi, baada ya harusi yangu kupita kama mwaka hivi nilikaa na mama sebulen katika story za hapa na pale mama tukaingia story za harusi yang.
Mama akaja kukmbuk siku na mwezi nikiofunga harusi yang ndo ilikua ni tar na mwezi aliofungu yeye na mzee wng.
Tukabak tunashaa what does it mean.!?
Zote ni tar 15 oct.
Najua lazima kuna maana imejifuicha katik ulimwengu wa roho.
Mathanzua nakuomba hapa.!