Nini sifa za kuanzisha kituo cha afya (private)

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
218
318
Salamu.
Naomba anayejua namna au sifa za kuanzisha kituo cha afya cha binafsi anijuz.
Hapa nataka kujua hasa sifa za kielimu na uzoefu.
Asante kwa yeyote atakaye nisaidia Mungu awajaalie.
 
Kwa hapa kwetu Tanzania ni pesa yako tu ndio sifa ya kwanza mengine yanafuata
 
Back
Top Bottom