Nini sababu ya mtoto kushtuka shtuka usiku

Nini sababu ya mtoto kushtuka shtuka usiku

Joined
Nov 26, 2014
Posts
31
Reaction score
1
Habari ya mchana bandugu, Natumain wote tuko salama.

Jaman nahitaji msaana kwa yeyote anayejua, me nina mtoto wa mwaka mmoja kamili. Tatizo lake week sasa anashituka sana usiku, yaani anaweza shituka kaamka na kukaa halafu anaanza kulia. Sasa hili tatizo kwa kweli linanitia wasiwasi sana. Naomba anayejua sababu na tiba yake, kabla ya kulala huwa naomba.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kama hana dalili nyingine za kuumwa, huenda ikawa hakuna shida. Maana hata watoto huwa wanaota na katika ndoto huwa tunaota vitu tunavyokuwa tumefana, kuona, kusikia au kuwaza!

Kwa hiyo ni kawaida mtoto kuota pia na mara nyingi mambo ambayo mtoto anakabiliana nayo mchana ni pamoja na kulia, kula au kucheka kwa hiyo hata ktk ndoto zake lazima atakuwa ananguka humo humo.

Hapa namaanisha kwamba,anaota ndoto inyomfanya aamke..sasa akishaamka pengine anakutana na mazingira tofauti na kitu alichokuwa anaota,au anakukuta umelala, so kitu chepesi cha kumrudisha ktk hali ya kawaida ni kulia tu. Na kwa kawaida unapoamka na kumtuliza,anapata usingizi kama kawaida. Hiki ni kindi ambacho hata ulalaji wa mtoto huwa ni vituko vitupu.
 
Kama hana dalili nyingine za kuumwa,huenda ikawa hakuna shida. Maana hata watoto huwa wanaota,na katika ndoto huwa tunaota vitu tunavyokuwa tumefana,kuona,kusikia au kuwaza! Kwa hiyo ni kawaida mtoto kuota pia,na mara nyingi mambo ambayo mtoto anakabiliana nayo mchana ni pamoja na kulia,kula au kucheka..kwa hiyo hata ktk ndoto zake lazima atakuwa ananguka humo humo...

Asante sana kwa maelezo yako mazuri, Mungu akubariki, maana hapa nilikuwa nishaanza kuogopa kuhusu dalili ya kuumwa saizi ana maua na kikohozi lkn ameshatibiwa tayari.
 
saga kitunguu saum kichanganye ktk mafuta yake ya kujipaka fanya tu ndio mafuta yake/penda kuwa na kipima joto anapostuka mcheki joto haraka kama liko normal, means<*?>, kama litakuwa juu mean <internal fever> ithibiti isijegeuka degedege!
 
saga kitunguu saum kichanganye ktk mafuta yake ya kujipaka fanya tu ndio mafuta yake/penda kuwa na kipima joto anapostuka mcheki joto haraka kama liko normal,means<*?>,kama litakuwa juu mean <internal fever> ithibiti isijegeuka degedege!

Asante sana, ngoja nikafanye hiyo kazi leo nikirudi, barikiwa saanaa
 
hivimajibu ya huu uzi yanaishia hapo tu au maana kila kukicha nakutana watu wana hiyo shida kwa watoto kushtuka
 
Kumkaza mama yake na yeye yupo jirani/ kitandani, ile miguno mama yake akikojoa lazma mtoto ashtuke kwakuwa anajua sauti ya mama yake lakini kile kijasho chembamba cha mama yake kinanukia na mtoto anakijua ndiyo maana anashtuka
 
Pamoja na ushauri wa wataalamu,pia kabla ya kulala maombi muhimu kwa imani yako
 
Back
Top Bottom