Chifu Nsyepa
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 106
- 98
Itakua haendi na kasi anayoitaka mkulu, ndo sababu anayosemaga akitengua uteuzi
Hata yule jamaa wa takukuru ilikua hivo hivo sidhani kama alimaliza mwezi akatenguliwa eti haendi na kasi inayotakiwa.....huu ni ujinga wenye kiwango cha lamilakini Usanga hakuwa hata ameanza kazi, kasi yake angeijuaje? Au alipiga ramli?
Kuna waliodai rais alipotengua uteuzi ule alikuwa sahihi kwa kuwa hakuwa kada wa chama angeenda kutekeleza sera za chama gani?Tumeshuhudia rais akitengua kimya kimya uteuzi wa Bi Hidaya Usanga aliyemteua kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Tarime. Usanga aligombea ubunge jimbo la Malinyi kwa tiketi ya ACT baada ya kuanguka ktk kura za maoni ndani ya Ccm.
Tumeshuhudia rais akitengua kimya kimya uteuzi wa Bi Hidaya Usanga aliyemteua kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Tarime. Usanga aligombea ubunge jimbo la Malinyi kwa tiketi ya ACT baada ya kuanguka ktk kura za maoni ndani ya Ccm.
Kamteua Lyatonga kwa kuwa anamuamini, kama umeelewa vema?Ni uchama tu japo nashangaa jana kamteua Lyatonga wa TLP?!
huenda kw kuwa almpgia pande kule jimboni kwakeKamteua Lyatonga kwa kuwa anamuamini, kama umeelewa vema?
Lyatonga ni kada mtiifu wa magamba ..kule aliko ni zuga tuKamteua Lyatonga kwa kuwa anamuamini, kama umeelewa vema?
Daudi Mchambuzi umenena!Kwasababu sio kada mtiifu wa CCM