wa4
Senior Member
- Jul 2, 2016
- 158
- 65
WanaJF, kwa imani yangu ya kikristo Marekani ndio mtawala wa mwisho wa dunia hii, naamini hakuna taifa lingine litakaloiangusha Marekani kwa vita au njia yoyote ile mpaka siku ya kiama kutokana na utabiri wa biblia na kama kuna mtu abishaye adhihirishe kwa kutueleza sababu za dunia nzima kufuatilia na kutikiswa na matukio ya Marekani.
Nawasilisha wakuu.
Nawasilisha wakuu.
