Nini njia ya kuachana na huyu mwanamke anayenitesa kiasi hiki?

Ee bana jombaa pole sana aisee sasa wewe ni nn ambacho kinaweza kukufanya uachane na mkeo kama tu unakuta anagegedwa afu ndo unaenda kumchukulia na jamaa tax. Ama kwel wewe wahitaji maombi
 
Hahah njia ya muongo fupi hajasubr hata mwez upite ndo uamin kuna watu wameajiriwa huku kwa stori za kuamsha jukwaa

Haswaaa.atakua analipwa vizur sana huyu.maana ana mikasa kibao alosimulia humu jukwaani.i guess there is more to come.hahhhahahahaawonderz shall never end.
 
njia ya kuachana nae ni very simple,,,,,anza kupiga nyeto.....uchawi wote unatoka.....
 
Unakera kaa nn mleta mada...shigongo ametangaza ajira za mtunzi wa hadithi....
 
Kuna dada mmoja nahisi sijui kaniroga au vipi. Kwani kwa mwezi mmoja sasa katika mapenzi yetu keshanifanyia vitimbi 90 vya kila aina, lakini kila nikiwaza tu kumfukuza kesho yake basi nashangaa ghafla upendo unazidi maradufu kwake.
Na kuna siku nakumbuka nilimfukuza na kwenda kwao Kyaka Nkude kijijini na haikuzidi hata saa tano nikamfuata na kumrudisha hapa kwangu na juzi tu nimemfumania akifanya mapenzi" Live " na rafiki yangu wa karibu

Lakini nikashangaa badala ya kukasirika na kumpiga ndiyo kwanza nikajikuta namwambia amalize kufanya mapaenzi na huyo rafiki yangu kisha anipitie turudi wote nyumbani. Sasa hiyo tisa, kumi ni hii ya leo na sasa hivi nimerudi kutoka kazini nimekuta kafunga mlango wa chumbani anafanya mapenzi tena na mtu mwingine na kanitumia meseji katika simu kuwa nisubiri kwanza amalizane na jamaa.

Kisha ndipo atanifungulia mlango na cha kushangaza baada ya kuambiwa hivyo mimi ndiyo kwanza nipo zangu sebuleni nacheza video game na mwanangu Gentamycine Jr. Na kuna wazo linanijia kuwa akishamaliza tu na huyo mshikaji basi nimkodie jamaa teksi impeleke kwake kupumzika halafu na mimi baadae nitoke na mke wangu kwenda kumnunulia zawadi.
Jamani nifanyaje kwani nafanyiwa vitimbi vya kila aina lakini najikuta tu nashindwa kumwacha au kumfukuza. Je nina tatizo gani labda?

Naombeni mnipe basi mbinu za kunisaidia mimi niweze kumwacha na nitawashukuruni nyote.

if and only if is a true story kuamzia leo nitaanza kuamini kuwa kuna uchawi
 
kazi yenyewe anayo? Labda kama kapata majuzi kuna siku nilimwonaga jukwaa ka kazi na mbwembwe za interview. Anyway.

Kwahiyo Kwa Jinsi Ulivyo " POPOMA " Wewe Mtu Akisema Kuwa Anaenda Kufanya Interview Basi Kwako Wewe Ndiyo Inamaanisha Kuwa Hana Kazi? Hivi Nyie Watanzania Baadhi Mmesoma Kweli? Wapi? Mmefundishwa Na Walimu Gani? Kwa Hizi Pumba Eti Huyu Nae Huko Mtaani Kwake Anajiita MSOMI ALIYETUKUKA! Kazi Yangu Hata Usome Vipi Huna Uwezo Wa Kuifanya Na Hata Tu Kufikiliwa Kuifanya Na Utabaki Hivyo Hivyo Na Huo MTAZAMO Wako. Kwahiyo Kumbe Watu Wote Wanaotangaza Humu Kuwa Wanataka Kufanya Interview Kwako Wewe Ni Jobless? Hivi Humu TUNAJUANA? Halafu Inaonekana Unanijua Na Unanifuatilia Mno au Wewe Ndiyo Unataka Kuolewa Na Mimi? Usione Aibu Kusema Kuwa UNANIPENDA Dada Yangu Kwani Wahenga Walishasema Kuwa " Penzi Ni Kikohozi ".
 
siku ukimkuta mkeo abanduliwa na mwaume mwingine, wakimaliza huyo mwanaume umwambie akugegede na wewe mbele ya mkeo. siku hiyohiyo mkeo ataondoka kwenda kwao
 
Ha ha ha ha ha hebu muulize mkeo alienda kwa Mganga gan, nataka nikamroge mtu fulan humu jf, maana nampenda ye hanipend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom