Nini njia ya kuachana na huyu mwanamke anayenitesa kiasi hiki?

GENTAMYCINE

Rafiki huna tatizo lolote haya ndiyo wadhungu wanayaita "Real Love" Mwanangu usisahau kuleta mrejesho kama jamaa kakubali kupanda teksi au anataka tiketi ya ndege ili tukusaidie usije poteza hilo pendo kwani linatamanisha.
 
Last edited by a moderator:
Acha kutudanganya, umetoka kazini saa saba mchana!! ulikua korokoroni??:wacko::wacko:
 
Duh! Aisee Watu Inaonekana Mnanifuatilia Mno Hadi Kupita Kiasi. Mtanitisha Sasa!

si lazima upost uzi mpya wengine jukwaani tunapita ku comment tuu. Mm nina mwaka jf nilishatupost uzi mmoja tuu zilizobaki ni just comments. Unakumbuka ulichokipost juzi?????? Acha utoto dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom