Nini nifanye, nipo njia panda

Hujamaliza la kupangiwa field Masasi umeibuka na la mrembo wa Tabora! Utamaliza chuo kweli dogo na hata ukimaliza utaiva kweli kuwa mwalimu bora mdogo wangu.

Hebu nenda field kwanza
 
Wewe jnataka kuanza kuchanganya mapenzi na masomo kama umepanga kitaaa mwambie aje ila kama uko hostel ..... Usijaribu boom litakata faster sana
 
Blessed mkuu [emoji120][emoji120][emoji120],
Hujamaliza la kupangiwa field Masasi umeibuka na la mrembo wa Tabora! Utamaliza chuo kweli dogo na hata ukimaliza utaiva kweli kuwa mwalimu bora mdogo wangu.

Hebu nenda field kwanza
 
NIPE NAMBA YAKE TUMWITE FASTA,
MIMI NIKO SHANGANI WEST HAPA,
TUTASAIDIANA GHARAMA MKUU.
 
Vunja nazi hapo njia panda..
 
Mwambie aje...akikaa njaa nd utamjua vizuri akili zake...!!

Hlf acha ujinga.....SUP zote hizo bado unawazia kumlisha kwa pesa ya boom
 
We Ernest Achana na mapenzi piga kitabu,,kuna Suprementary,Carry na Discontinue/Disqualify
 
Hujamaliza la kupangiwa field Masasi umeibuka na la mrembo wa Tabora! Utamaliza chuo kweli dogo na hata ukimaliza utaiva kweli kuwa mwalimu bora mdogo wangu.

Hebu nenda field kwanza
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…