Nini michuzi bana mambo iko china

Status
Not open for further replies.
dah nimependa izo stance jaman...stance mpk kwenye kupiga pcha ennh?
aya
 
hehehehehe mkuu nimecheka kweli...


 
hawa jamaa ni wahuni sana, hiyo misimamo ktk marsho art inaitwa stensi, wao wanaamini kila kitu kinaweza kufanyika kwa ufanisi mikiwa tu utashirikisha mambo ya ngumi, nimefrahi sana kwa picha hizi.:frusty::frusty::frusty:
 
Mmmmh ma stensi hayo, ni applicable kila sehemu hata katika mlo wa usiku wachina wana apply....!
 
Style hizo huwezi tumia Mombasa,la sivyo utabonyezwa kizenji...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…