Nini mchango wa Wanascience wetu kuhusu janga hili la Corona?

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,049
2,000
Ndugu wana JF natumai mko salama kabisa.

Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kujua mchango wa wataalam wetu juu ya janga la corona ama covid19?

Wakati mataifa mbali mbali yakihangaika kutafuta tiba kudhibiti hili gonjwa la covid19.

Wataalam wetu hapa nyumbani wameonekana kuwa kimya au hawashughuliki na research za kutafuta tiba au chanjo za kukabiliana na hili janga.

Lakini pia rais wetu amekuwa akisema si kila dawa inayotoka kwa wenzetu ni nzuri. Anaweza akawa right au akawa wrong. He is politician after all.

Lakini je, hapa nyumbani tuna uwezo wa kutengeneza chanjo yetu tutakayo iamini na itaaminika na mataifa mengine, au ni kelele za sizitaki mbichi hizi?

Why tunasubiria mataifa ya nje yahangaike kutafuta chanjo? kutafuta tiba? Halaf ikishatoka ndio waijadili.

Nini kinawakwamisha wao kuingia maabara na kufanya research hadi kuja na dawa ambayo ni reliable?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom