Nini matumizi ya Mabondo ya Samaki Sangara?

Inatumika kama chakula, wachina wanatumia sana huko kwao
 
kwa mtu anaejua matumizi ya mabondo ya samaki sangara yanatumika kufanya nini atusaidi, maana yananunuliwa kwa bei kubwa sana, tusijekua tunauza kitu cha thamani sana kwa pesa kidogo....msaada please.

Ee bwana nimesoma taarifa hapa lnimeshangaa sana. Sangara mwenye kilo 80 anaweza kuwa na bondo la thamani ya million 10. Still, taarifa haisemi matumizi yake ni nini hasa. Hii hapa chini

Hongera JPM kwa uamuzi huu

Wiki mbili zilizopita Mpita Njia (MN) akiwa kwenye gari linalofanya kazi ya kusafirisha abiria (Heace) kati ya Muganza na Buselesele Wilayani Chato, Mkoani Geita, aliwasikia abiria watatu wakiteta juu ya uteketezaji wa nyavu na ukamataji wa wavuvi haramu unaoendelea katika ziwa victoria.

MN alivutiwa na mazungumzo ya abiria hao kwani walionekana kuwa na mitazamo tofauti katika mzungumzo yao.

Katika mazungumzo hayo MN alisikia mmoja wa abiria hao akihoji uhalali wa serikali kuchoma nyavu haramu na kushindwa kupambana na kiini cha tatizo ambacho ni viwanda vinavotengeza nyavu hizo.

Hata hivyo watatu hao walikubaliana na hali ngumu ya kiuchumi waliyo nayo lakini wakadokeza neno lilimfanya MN aongeze umakini wa kuwasikiliza.

Walidokeza kuwa siku si nyingi ziwa Victoria litakuwa na samaki wakubwa sana hasa sangara.

Walisema mbali na sangara hao kuuzika kwa bei nzuri siku za usoni, mifuko ya samaki hao ya kutunza hewa ambayo kuwasaidia kuogelea wanapokuwa majini (Mabondo) itakuwa na thamani kubwa mno.

MN aliwasikiliza abiria hao wakisema biashara ya Mabondo ambayo imekuwa akifanywa na wachina kwa kushirikiana na Waganda kuwa na faida kubwa mno kwani kilo moja ya bondo huuzwa hadi laki nne na hela hiyo haikatwi kodi.

MN alihitaji kupata undani wa biashara hiyo, ambavyo walimudokeza kuwa kipindi cha nyuma Mabondo yalikuwa yanatupwa kutokana na watu wengi kutokujua thamani yake,lakini kwa sasa ndiyo yanachangia hata kuongezeka kwa uvuvi haramu.

MN baada ya kupata dondoo hizo ameona ni vyema atume pongezi kwa uongozi wa awamu ya tano kwa juhudi zinazo fanyika ili kuzuia uvuvi haramu.

Lakini anawakumbusha kuwa kuna biashara ya mamilioni yatokanayo na kuuza mabondo ya sangara inayofanyika ziwani hapo bila ya kutozwa kodi.

MN ameambiwa kuwa sangara wa kilo 80 bondo lake linaweza kuwa na kilo zaidi ya 25 ambavyo likikaushwa na kupelekwa China linaweza kuuzwa hadi milioni 10.

Source: Hongera JPM kwa uamuzi huu | Gazeti la Jamhuri
 
Bondo
IMG_20190904_100729.jpeg
 
Samaki awe na kilo 80 halafu bondo lake liwe na kilo 25?? Bondo lina uzito karibu robo ya uzito wa samaki??

Huu ni uongo mtupu kama ule wa kulima matikiti ekari moja upate milioni 15

Huyu hajui kitu!

Mimi nilishaokota sangara was kilo 187 Lakini Bondo lake halikufika hata kilo nane!
 
Bondo value yake ni mara 40 ya samaki. Yani kilo moja ya sangara ni 5000. Ila bondo lake kilo moja ni 400,000 hadi 500,000
Mkuu wewe ndio uko sawa ingawa kipindi Cha JK Bondo moja la kilo moja lilifika mpaka milioni moja
 
Jaman anaejua
Kazi ya mabondo aseme
Mimi nachojua huwa yanapelekwa China!

Na swala la kutengeneza nyuzi za kushonea waliofanyiwa upasuaji na lenyewe nilishalisikia ingawa Sina uhakika nalo!
 
Back
Top Bottom