Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,552
Hakika baada ya kufunga ule utaratibu wa kujiunga Jeshi, wale tuliopitia Jeshi tulilaumu sana. Na sasa wakati umefika kwamba nidhamu itarudi kwani Viongozi wote watarudi katika UTAIFA HALISI. Nikitafakari hawa jamaa wabunge vijana wakishapitia jeshi ni matumaini yangu kwamba watakuwa wazalendo zaidi na hao wazee wa miongozo yaani CCM watakuwa na uzalendo kwa nchi yao. Na ni mategemeo yetu watakuwa watetezi wa wananchi wanaoelewa nini maana ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siyo leo wananuka maziwa ya utoto.
Kule mtajifunza hesabu za kijeshi mwisho namba 3
Hata kama uzalendo hautapatikana at least watajifunza kuishi na magumu bila kupiga kelele ovyo; dunia haijaumbwa kwa mabonge ya sukariMbona bosi wa mafisadi ni mwanajeshi pamoja na mafisadi wenyewe wamepitia jeshi? Hujawahi sikia Meremeta, na SUMA JKT kwa ufisadi? Ndugu yangu UZALENDO na UTAIFA hauletwi na jeshi bali chamsingi system yote ingoke tuanze upya.
Hata kama uzalendo hautapatikana at least watajifunza kuishi na magumu bila kupiga kelele ovyo; dunia haijaumbwa kwa mabonge ya sukari
Hilo nalo nenoNadhani hii ni kupoteza muda na raslimali za taifa. Ni bora tuandae vjana wabichi kwani samaki mkunje akiwa mbichi. We leo hii umpeleke Ridhwani, Nape au Mwigulu nchemba utambadilisha kwa lipi? Wao wanarithi mikoba. So dawa ni kukata shina na kupanda upya.
ndo hapo hv Chenge na lowasa hawakupita jeshini hawa!?mh ... wengi walio mafasidi na mafisadi walipitia jeshi hilo jkt , sijui mwamko huu mpya utakuwaje ...