Nini matokeo ya epic nation? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini matokeo ya epic nation?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by simple boy, Nov 20, 2011.

 1. s

  simple boy New Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leo epic nation ilikuwa mjini mtwara ambapo wamehudhulia wananchi kupita kawaida kuliko hata raisi akija watu huwa hawajai kwa kiasi nilichoshuhudia leo na nia yao kubwa me sijaiona zaidi ya kupoteza muda wa wanachi kwa kuwaangalia wanavyorukaruka sasa wana-jf nisaidieni malengo makubwa kama ni kuongeza idadi katika mtandao wao mbona muda mwingi ni mziki kwa kwenda mbele?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  wabongo ndio walivyo hasa huko kusini wao mshangao ni jadi mengine yatafuatia
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  chanzo cha imani, ni kusikia.
  Wakisha sikia wataamini bidhaa zao.
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Sio kushangaa ndugu yangu, sehemu kubwa ya waliokuwepo hapo wanawasikia tu hao wanamuziki, sasa ikija nafasi adimu ya kuwaona live mtu yuko radhi atoke wilayani kuja kumuona msanii.

  Hao watu walio turn up ni wateja wa baadaye wa Zantel, promo hiyo inalipa sana . Labda leo wamegawa sim card bure, after say six months watakuwa na roadshow nyingine na kusema ukija na recharge voucher zilizotumika za 5,000 unaingia bure kwenye show, voucher zilizotumika za 10,000 Tshirt, vouchers zilizotumika za 20,000, raffle inachezeshwa na mshindi anapata simu.

  Zain watakuwa wamepata wateja kibao
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Epic nation ni nini? Me hii huduma hata siielewi..
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hata mi nilitakam kuuliza hivyohivyo
   
 7. libent

  libent JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  epic nation ni huduma au promotion kutoka zantel ambapo mteja wake anapata sms 300 na free 15 minutes, 50mb za internet n.k
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  ni dalili ya ananchi kukata tamaa ya maisha na kujiletea maendeleo.
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  na yule alokamatwa na bangi tani moja yupo huko?
   
 10. Rashdind

  Rashdind Senior Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  eehh! Nan tena uyo jaman?
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ahaa, kwa hiyo internet ya Zantel inapatikana Mtwara? duh!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Asilimia 20.
   
 13. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  teh teh teh
   
 14. networker

  networker JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  epic nation .ni huduma inayo mfaidsha mteja wa zantel yoyote aliye jiunga na huduma hyo.ukijiunga unapata 300 sms na 15 mins na 50 mb za net.kwa garama ya 500tu pia unapewa pin special unatakiwa uikariri .utaitumia bilcanas kuingia bure kila ijuma pia ukinuna burger 1 steers una pewa na nyingne bure pia cininmax unapunguziwa nadhan 50% marybrown 10% ya chochote utakacho nunua pia funcity kigamboni.yote hayo ni kwa garama ya 500 tu ambayo ita last kwa siku 3 ndio 500 nyingne ikatwe .na bado inakuwa thats all watu wa mikoa mingne na napewa kutokana na resource walzo nazo
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Huku Mtwara... Pale BOKA BOMA...Napata nn???
   
 16. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Usanii mtupu
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Wabongo starehe tunazipenda ila mfuko umechacha. Yakija hayo mapromoshen na sisi ndio tunapata nafasi ya kuburudika na kung'aa sharubu.
   
 18. K

  Kivia JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Zantel wanapoteza muda tu. Makampuni mengine wanajitangaza na kushusha gharama na ubunifu wa huduma zingine kama[m pesa, tigo pesa] wao wamelala mtandao unazidi kudorora. Sijui nao wameingia ktk mseto ZNZ ?. Natabiri zantel kufirisika.
   
 19. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,598
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  Mbona zantel nao wanamtandao wa kutuma pesa unaitwa Z PESA?
   
Loading...