Nini Marupurupu kwa mtumushi mpya serikalini

raphalena

Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
32
Reaction score
4
hamjambo wana JF poleni na majukumu kwa mulio katika payroll ya serikali and poleni kwa wale muendeleao kutafuta hiyo system. mimi nimeitwa kazi utumishi naelekea Halmashauri ya Singida. nataka kujua ni allowence zipi na kiasi gani zinatolewa kwa mtumishi mpya anaporeport kazini. na inaweza chukua muda gani kama hizo allowence zipo.
 
pesa ya kujikimu simu siku 7 pamoja na nauli muda inategemea na mwajiri wako
 
Back
Top Bottom