Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Swala la muungano wa Tanganyika na Zanzibar limekuwa likizua mijadala kila kukicha, hasa inapofikia kwenye mahali ambapo zanzibar na Tanganyika wanatakiwa kushiriki pamoja katika maamuzi makubwa ya nchi kama hili linaloendelea sasa kuhusu Muswada wa katiba.
Je kama Mtanzania unayejiamini na kujitegemea kimawazo, nini maoni yako kuhusu muungano huu?
Je kama Mtanzania unayejiamini na kujitegemea kimawazo, nini maoni yako kuhusu muungano huu?