Nini manufaa ya bunge la wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini manufaa ya bunge la wanafunzi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rubi, Nov 16, 2009.

 1. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Habari wanajamii. Huwa mara chache nafuatilia mahojiano ya wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari nchini katika Bunge la Wanafunzi. kipindi hiki huwa kinarushwa na TBC1 kila Jumapili.

  Kwa kweli baadhi ya hoja ni nzuri na za msingi pamoja na kuwa pia kipindi hiki kinapima uwezo wa mwanafunzi kujieleza na kuchanganua mambo mbalimbali. Sasa swali langu ni kuwa haja zinazojadiliwa hapo na kupitishwa ni kweli zinafanyiwa kazi au ni basi tu.
   
Loading...