Nini manayake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini manayake!

Discussion in 'JF Doctor' started by frank wanga, Aug 16, 2012.

 1. frank wanga

  frank wanga Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naommba kujuzwa kuhusu hili,Hivi ninini kinacho mridhisha wmanamke wakati wa kujamiana. je niukubwa wa uume au unene,urefu wake.je nikwanini watu wengi wana tafuta dawa za kuongeza maumbile hayo!
  Nini madhala ya dawa hizo kwa hapo baadae.
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  None of the above....anyway kwakuwa kina Erotica wapo watakuja kufafanua zaidi...
   
Loading...