Nini mamlaka ya Mo Dewji ndani ya Simba?

Wewe uoni Kama Sports pesa wanafukuzwa, MO hataki ushindani. yeye ndie mkurgenzi wa bodi na yeye ndie anaye miliki biashara zote zinazo husiana na timu.

Hivi watu wa simba watakuja kufunguka lini kuhusiana na mo uwanja umejengwa lakini hauko kwa jina la simba ni mi arena ukiwabana simba wanasema ili mradi tunapata ushindi akili za matopeni kabisa mi endelea kuwanyonya hawa mbumbumbu/Bodaboda/Mikia
 
Mwanaharakati kindakindaki wa utopolo, tunakujua sana, mwenzio Jimmy kindoki keshajifunza kitu kwenye uchaguzi
 
Hivi watu wa simba watakuja kufunguka lini kuhusiana na mo uwanja umejengwa lakini hauko kwa jina la simba ni mi arena ukiwabana simba wanasema ili mradi tunapata ushindi akili za matopeni kabisa mi endelea kuwanyonya hawa mbumbumbu/Bodaboda/Mikia

Kujifanya una akili nyingi kumbe wewe ndiye Kichaa Kabisa bora hata hao Mbumbumbu.

Hivi Karne hii ya 21 member wa JF anashangaa Uwanja wa Simba kuitwa MO ARENA? Serious?

Uwanja unaomilikiwa na Timu ya Arsenal iliopo nchini Uingereza unaitwa EMIRATES hivi kwanini huikuitwa ARSENAL STADIUM? kwahiyo na wao ni mbumbumbu wananyonywa na Waarabu (United Arab Emirates)?

Uwanja wa Timu ya Manchester City ambao unamilikiwa na Serikali ya City of Manchester unaitwa ETIHAD je nawao ni Mbumbumbu wananyonywa na Waarabu (Etihad Airways)?

Jifunzeni kwanini Viwanja vya mipira vinaitwa Majina ya Watu, Makampuni sio munaropokwa tu.

Na mifano mengine ipo mengi tu lakini Mishabiki ya Utopolo tatizo lane mumekosa Exposure ndiyo Mana hata Mindset zenu ni za Stone age that's why Kitenge anawaonesha Basi la KUNEED HUNTER anawaambia ni la Yanga munaanza kujisifu kuwa Yanga imenunua Scania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom