Nini mahita kuna anold...~~

Nini mahita kuna anold...~~

ALLEX

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
2,006
Reaction score
346
ANOLD 2.jpg ANOLD.jpg
kitu chapa..kweli rangi ya mkaa ni nyeusi....
 
What are you trying to say? kuwa Anorld na yeye ni kama Mahita alimtelekeza mwanae?
 
Kuwa makini shossi ....i said kitu chapa
 
Hahahahahaha🙂 Watoto wa njee ya ndoa kutoka FOTO COPY ya wazazi wao (wanaotaka kuingia mitini) huwa ni kawaida!!!! Hata wa Mahita simnakumbuka picha yake ilivyo TRUE COPY OF ORIJINO??!!!!!
 
Kuwa makini shossi ....i said kitu chapa

You said? mhnnn I am out.........by the way uso wa huyo mtoto ni wa duara kama wa mama yake na haujachongoka kama wa baba yake sema kwa kuwa ni baba yake he got some features au wewe unaona wazungu wote wanafanana kama tunavyowaona wachina?
 
dogo kafanana na mother yake, hajafanana na arnold hata kidogo.
 
Sema dingi kazeeka ngoja tutafute picha zake za awali tuzitupe humu ....
 
Back
Top Bottom