Nini madhara ya mirungi (gomba) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini madhara ya mirungi (gomba)

Discussion in 'JF Doctor' started by oisso, Jun 19, 2012.

 1. o

  oisso New Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi ni kijana mwenye umri miaka 23, je nini madhara ya kutumia gomba kwa muda mrefu? nisaidieni katika hili.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,550
  Trophy Points: 280
  Unaishi R Chugga.?
  Unakaa na taxima mdomoni kwa muda gani?
  Unatumia Rubesa ngapi kwa siku?
  nijibu hayo maswali kwanza.
   
Loading...