Nini madhara ya mayai ya kuku wa kizungu?

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
1,018
2,000
Jamani kuna madhara ikiwa mtu atakuwa mlaji wa kupindukia wa mayai ya kuku wa Kizungu?
 

washwa washwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
1,618
2,000
kwa mwanaume ni kuota maziwa na kama ni mwanamke na ni mjamzito ni kuzaa mtoto asie na nywele
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom