Nini madhara ya ku-format simu?

Nini madhara ya ku-format simu?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,374
Reaction score
4,987
Naomba kujua kuna madhara gani ya ku-format simu? Napata wasiwasi juu ya usalama wa downloaded applications na factory softwares. Naomba kuwakilisha.
 
Madhara yake ni kuwa inadelete kila kitu na kufuta mipangilio yote ya simu...na simu inakuwa kama ilivyotoka kiwandani kwa mara ya kwanza
 
Baada ya ku-format, memory card haifunguki, naambiwa niweke password, kila nikiweka inakataa. Je nifanyeje?
 
hyo memory ilikua na pasword tangu ktambo so utajichek. Kama unashndwa nenda katafute cmu yenye uwezo wa ku4mat mmc yenye pasword. Kama nokia e seriez, n seriz ama galaxy
 
nilifanya hard reset ya nokia c5 saiv memor card inataka paswd bt ckuwah kuiwekea passwd
 
tafuta nokia nyingine smartphone iweke uformat itakubali na utaweza kuondoa hiyo password
 
Back
Top Bottom