nini madhara ya diclopa kwa wasichana??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini madhara ya diclopa kwa wasichana???

Discussion in 'JF Doctor' started by amina ali, Aug 9, 2012.

 1. a

  amina ali Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jamani wanajamvi natumai mnaendelea vizuri na harakati za maendeleo ya taifa. mi mwenzenu nawaomba mnijuze hatari ya hizi diclopa kwetu sisi wanawake maana mimi nnapoenda siku zangu huwa naumwa na tumbo sana lakini nnapokula dawa hizi tu napona, ila nasikia sio nzuri hivi nikweli??
   
 2. kibaa

  kibaa JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  inasemekana ina Acid nyingi
   
Loading...