Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 516
Mi nimeona asilima kubwa ya vijana waliokuwa wanavuta bangi mtaani kwetu sasa hivi wanaokota makopo,inawezekana bangi ya Ulaya-cannabis stiva ni tofauti na bangi ya Afrika,sijui lakini ukweli ni huo kuwa vijana wengi wamezibuka kwasababu ya matumizi ya bangi.
Mkuu OMEGA uko sahii kabisa mi kuna vijana nilisoma na wengine nimekua nao mtaani wao waliona bangi ndio ujanja...sasa shule iliwashinda maisha wamepigika matokeo yake siku ni kunitia mizinga ya buku buku kila siku yahani sina hata amani asubuhi nikiwa naenda job au jioni nikirudi...washikaji tunaringana umri ila wanaanza kukuita bro...ganzi sio kabisa ila ni bora mara mia ya poda
Last edited by a moderator: