Nini maana yake?

Nini maana yake?

kigosi D

Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
38
Reaction score
20
Ivi mwanamke kuvaa kikuku(Shango au bangili inayovaliwa mguuni) katika mguu wake inakuwa na maana gani?
68e5679f-8b86-4664-97be-a0cea93c5a42.jpg
 
Attachments

  • 68e5679f-8b86-4664-97be-a0cea93c5a42.jpg
    68e5679f-8b86-4664-97be-a0cea93c5a42.jpg
    35.2 KB · Views: 42
KWANI KUVAA CHENI SHINGONI KUNA MAANA GANI???
Acha imani za kurithishwa
 
Ni urembo kama urembo mwingine kwa baadhi ya wanawake.

ila kwangu ni tofauti sipendi hii kitu vibaya mno,hua nakereka sana nikiona mwanamke kavaa hivyo.
Kwanini unakerekwa kwa urembo wa mtu mwingine?
 
Sipendi,tangu nilipoona kundi La wanaume wakiwa ktk story
Wakagusia aaa vikuku ukiona demu kavaa anatangaza biashara huyo(kudanga)

Basi tangu hapo sivipendi tu haijalishi aliyevaa kavaa kwa maana gani,nakereka tu.
 
Ni urembo kama urembo mwingine kwa baadhi ya wanawake.

ila kwangu ni tofauti sipendi hii kitu vibaya mno,hua nakereka sana nikiona mwanamke kavaa hivyo.

Ninavyojua urembo haukeri kwa sababu unapendezesha ila kama unakukera basi huo si urembo tena
 
Sipendi,tangu nilipoona kundi La wanaume wakiwa ktk story
Wakagusia aaa vikuku ukiona demu kavaa anatangaza biashara huyo(kudanga)

Basi tangu hapo sivipendi tu haijalishi aliyevaa kavaa kwa maana gani,nakereka tu.

Kudanga ni tabia ya mtu hata kama asipovaa atafanya tu
 
Kuna mitaa kama mwanamke kavaa hiyo Ina manisha Anajiuza hasa yule alovaa mguu mmoja

Alafu mkuu Hiyo picha Haina position nzuri
TULIO WENGI TUNGETARAJIA IPIGE KUELEKE KUTOKA UNYAYO KUELEKEA JUU SIO KUTOKA JUU KWENYE KWENYE UNYAO
 
Kila kitu na maana yake. Huyo anauliza; Who let the dog out? Huyo ni mdangaji pure.
 
Kuna mitaa kama mwanamke kavaa hiyo Ina manisha Anajiuza hasa yule alovaa mguu mmoja

Alafu mkuu Hiyo picha Haina position nzuri
TULIO WENGI TUNGETARAJIA IPIGE KUELEKE KUTOKA UNYAYO KUELEKEA JUU SIO KUTOKA JUU KWENYE KWENYE UNYAO

Kumbe mguu moja inakuwa ivyo na akivaa miwili ni urembo
 
Kwakweli mimi nahamsika sana mwanamke akivaa hiyo kitu, yaani mwili wangu unakua kama umepigwa ganzi, natamani wanawake wote duniani wangekua wanavaa hivyo.
 
Hapo wanakumaliza mbaya yani
 
Back
Top Bottom